Askofu Mkuu Nyaisonga na wimbo wa Zamani
JIMBO Kuu la Mbeya limeadhimisha ibada ya Misa Takatifu ya kubariki Mafuta Matakatifu na kuweka wakfu mafuta hayo ikiwemo na mapadre kurudia viapo vyao vya daraja Takatifu la Upadre. Katika homilia yake Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mbeya,mhashamu Gervas Nyaisonga ameanza kwa kuwaalika Waamini kuimba wimbo wa Zamani. #Askofu #Nyaisonga #Mbeya #Catholicchurch